Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 14, 2016

PROFFESA MAJI MAREFU AMWAGA MADAWATI JIMBONI MWAKE

MAJI
MAREFU AMWAGA MADAWATI JIMBONI MWAKE.

 Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Robet
Gabriel kushoto akipokea madawati 200 kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
jana ambapo madawati hayo yalitolewa kupitia fedha za mfuko wa Jimbo kwa
ajili ya kukabiliana na upungufu wa madawati kwa shule za msingi
wilayani Korogwe

 Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Steven Ngony'ani alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia
kushoto ni Diwani wa Kata ya Kerenge wilayani Korogwe wakiwa wamebeba
moja kati ya madawati 200 ambayo yalikabidhiwa leo na mbunge huyo
kupitia Fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya shule za msingi wilayani
Korogwe jana,Picha na
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM),Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutoa madawati


  Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM),Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wa kwanza
kushoto akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Robert
Gabriel ofisini kwake kabla ya kumkabidhi madawati 200 leo
wanafunzi
wa shule za msingi wilayani Korogwe wakiwa wamekaa kwenye madawati 200
yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Proffesa Maji
Marefu kupitia Mfuko wa Jimbo.


Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Proffesa Maji Marefu kupitia Mfuko
wa Jimbo katikati akiwa amekaa kwenye madawati 200 aliyoyakabidhi leo
kwa shule za msingi wilayani humo kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Korogwe,Robert Gabriel kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Korogwe,Abeid Mohamed

Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP