Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 6, 2016

SALAMU ZA EID TOKA KWA SHEKH HIJA NCHINI UHOLANZI

Shekh Hija wa Den Haag nchini Uholanzi{kushoto}akiwa na ndugu,jamaa na marafiki mapema leo asubuhi nyumbani kwake ili kufungua kinywa kwa maakuli matamumatamu

Mapema leo asubuhi Shekh Hija akiwa na familia yake ndugu,jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake kufungua kinywa kwa kusheherekea sikukuu tukufu ya Eid el fitr

Hija family
Shekh Hija na familia yake wakipata kumbukumbu ya pamoja na wageni wake ambao leo hii mapema asubuhi walijumuika pamoja katika kupata staftahi nyumbani kwa Hija

Mr n' Mrs Hija

Le Hija Familie

Ndugu,jamaa na marafiki wa Hija ambao leo asubuhi walipata staftahi nyumbani kwa Hija.

Shekh Hija na mkewe waliandaa mapochopocho hayaa asubuhi ya leo

Watoto wazuri ambao ni mapacha kutoka Den Haag nchini Uholanzi,hapa tunawazungumzia Paris na Milan ambao ni watoto wa Shekh Hija.


Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP