Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 8, 2016

HABARI PICHA ZA SHEREHE YA KUMPONGEZA ALIEKUWA MKUU WA WILAYA YA MAGHARIBI "B'' AMBAE SASA NI MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI


Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mkuu wa Wiliya Mjini Bi. Marina Joel Thomas (katikati) aliekuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” (kulia) Silima Haji Haji akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katika sherehe ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa

Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akizunguza na wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B” na walikwa katika sherehe ya kumpongeza na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu iliyofanyika viwanja vya Skuli ya Urafiki Wilaya ya Magharibi “B”.
Aliekuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis akitoa neno la shukrani katika hafla hiyo. Picha zote na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.​
Sehemu ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini Ayoub Mohammed Mahmoud na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu. 
Sehemu ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini Ayoub Mohammed Mahmoud na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu. 
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” (kulia) Silima Haji Haji akiwakaribisha walikwa kwenye sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu. 
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP