Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda (kushoto) akimjulia hali mwanafunzi wa Darasa la 4 wa Shule ya Msingi ya Mount Kibo ya Mbezi Beach ya Jijini Dar es Salaam, David Kamoga, anayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba, Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI),  baada ya kujeruhiwa kwa kugongwa  na gari aina ya Hiace eneo la Tegeta, Namanga, Jijini Dar es salaam. Kulia ni baba wa mtoto huyo, Bw. Hudson Kamoga ambaye ni mtangazaji wa Clouds TV. (PICHA  NA KHAMISI MUSSA)

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda (kushoto) akimjulia hali mwanafunzi wa Darasa la 4 wa Shule ya Msingi ya Mount Kibo ya Mbezi Beach ya Jijini Dar es Salaam, David Kamoga, anayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba, Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI),  baada ya kujeruhiwa kwa kugongwa  na gari aina ya Hiace eneo la Tegeta, Namanga, Jijini Dar es salaam. Kulia ni baba wa mtoto huyo, Bw. Hudson Kamoga ambaye ni mtangazaji wa Clouds TV.