Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 2, 2016

Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'

Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa 'shetani'.
Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump alimshambulia Bernie Sanders kwa kumuachia nafasi Bi Clinton.

Tajiri huyo alisema kuwa Sanders alifanya makubaliano na 'shetani' .
Wanachama wa Democrat na Republican wememkosoa bwana Trump kutokana na matamshi yake kuhusu wazazi wa mwanajeshi M'marekani muislamu aliyeuawa vitani nchini Iraq

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP