Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Sep 6, 2016

NGOMA AFRICA BAND KUKINUKISHA MONACO JUMAMOSI 10SEPT 2016

Kutumbuiza mabwanyenye wa umoja wa Yacht Club"
  Na mbwa domobaya  lao limeonekana
Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanatarajiwa kutuo katika kisiwa cha Monaco kufanya show
maalumu kwa mwaliko wa Yacht Club ya Monaco,bendi hiyo itawatumbuiza
mabwanyeye hao katika kisiwa hiko cha kuponda raha siku ya jumamosi 10 September 2016 usiku hadi asubuhi. Pia habari za uhakika zinasema kuwa
yule mbwa wao aina ya Bulldog aliyepotea amepatika na kurudishwa kwa mkuu wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja.
Usikose kupata muziki at www.ngoma-africa.com
au jiunge nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP