BENKI
YA POSTA YAJENGA CHOO CHA SH.MILIONI 14.5 SHULE YA MSINGI PANDE JIJINI
TANGA

 Meneja Mwandamizi wa
Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves
Moses katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Vyoo katika
shule ya msingi Pande ambavyo limegharimu kiasi cha sh.milioni 14.5
kushoto ni Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava na kulia
ni Afisa Elimu Sayansi Kimu, Rukia Magogo 






 Meneja
Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses akizundua Jengo jipya la Choo cha Shule ya
Msingi Pande ambalo wamelijenga.


 Meneja
Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses pamoja na wageni wengine wakipiga makofi mara
baada ya kulizundua jengo hilo


 Meneja
Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses kulia akipongezwa na mwalimu mkuu wa shule ya
Msingi Pande,Mathias Anthony mara baada ya kuzindua Jengo la
Choo





 Meneja
Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses katikati akielekea kuzindua Jengo
hilo


Afisa Elimu Msingi wilaya ya
Mkinga,Zakayo Mlenduka akizungumza kwenye halfa hiyo



 Meneja
Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania
(TPB), Noves Moses wa tatu kutoka kushoto akionyeshwa choo za
zamani ambacho kilibomoka na
Afisa Kilimo na Mazingira
Jiji la Tanga,Ened Mzava wa tatu kulia wakati alipotembelea eneo
hilo



Choo cha zamani ambacho kilikuwa
kinatumiwa na wanafunzi wa shule hiyo ambacho
kilianguka
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha