| Maganga One Blogger akiwa na mkewe Mrs Maganga mapumzikoni nchini Spain.Pichani wakiwa katikakati ya jiji la Spain sehemu maarufu Barceloneta -Barcelona |
| Maganga One team{Le Family} |
| Baada ya mishemishe za matembezi Blogger akiwa ametulia hotelini anaperuzi habari mitandaoni. |
| Hali ya hewa Spain ni nzuri kiasi kwamba Kikosi cha Maganga One kikaamua kujitumbukiza majini |
| Mrs Maganga One akiwa karibu kabisa na watoto wake kuhakikisha hakuna atakayepata tatizo |
| It is what it is.....Maganga One |
| Bata wanaendelea...Endelea kutufuatilia |
0 Comments