MBUNGE
MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI
MWAKE.


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani
Shutashuta,Saidi Bakari  wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha
Umwagiliaji eneo la Golani Shutashuta Kata ya Pande Jijini Tanga jana
wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea kuona namna wanavyotekeleza
majukumu yao na changamoto ambazo zinawakabili

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikangalia naamna mradi huo
unavyopandwa




Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikagua mradi huo leo mara baada ya kuwasilia kwenye
eneo hilo


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa
kilimo cha Umwagiliaji
wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini
Tanga


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa
kilimo cha Umwagiliaji
wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini
Tanga


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikagua tikitiki maji wakati alipotembelea mradi wa
umwagiliaji leo wa 
Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini
Tanga




Mbunge wa Jimbo la Tanga,Alhaji
Mussa Mbaruku akipata tunda la tikiti maji mara baada ya kumaliza ziara
yake ya kutembelea kilimo cha Umwagiliaji
wa
Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini Tanga
katikani ni mwandishi wa gazeti la tanzania Daima Tanga Mbaruku
Yusuph.

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.