Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jan 8, 2017

MAGANGA ONE ALIVYOUAGA MWAKA 2016 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2017 NCHINI SPAIN

Mkesha wa mwaka mpya ulikuwa wa aina yake jijini Barcelona nchini Hispania pale Blogger Maganga One {katikati} alipokuwa na Majita wa jiji Muddy Durban {kushoto} na Hamis Kizizi {kulia} walipokuwa wakiuaga mwaka 2016 pamoja.

Muda mchache kabla ya kuuga mwaka 2016 watu walikuwa mezani kurekebisha miili ili kujiweka sawa na mwaka 2017

Mambo ya kujenga mwili yakiendelea watu hawakutaka mchezo kabisa ilikuwa toa sahani weka sahani

Vijana wa Maganga One na mama yao wakilainisha makoo baada ya kushiba

Muddy Durban{kushoto}akipuliza Shishaa hewani kuukaribisha mwaka mpya 2017 huku Maganga One akipozi kuiangalia kamera na Hamis Kizizi akitumia watu salamu za heri ya mwaka mpya

Wanajeshi ambao wamekutana baada ya miaka zaidi ya 15,ilikuwa furaha sana..Hapo nawazungumzia Muddy Durban,Maganga One Blogger na Hamis Kizizi..

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP