Wachimbaji wote wa mgodi wameokolewa baada ya mgodi kuporomoka katika eneo la Nyarugusu wilayani Geita kaskazini mashariki mwa Tanzania.
Jumla ya wachimbaji 15 wa mgodi walikuwa ndani ya mgodi huo akiwemo raia mmoja wa China wakati uliporomoka.
Juhudi za kuwaokoa wachimbaji hao zimekuwa zikifanyika tangu wafukiwe usiku wa kuamkia Januari 26..
Image captionWafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa TanzaniaImage captionWafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa TanzaniaImage captionWafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa Tanzania
0 Comments