Mchezaji wa Hull City Oumar Niasse akiandika bao la kwanza dhidi ya Liverpool na kuifanya Hull kuongoza kwa goli la kwanza.Ila mpaka mwisho wa mchezo Hull City walitoka wababe kwa ushindi wa 2-0.
Mchezaji Oumar Niasse wa Hull City akishangilia goli lake la kwanza dhidi ya Liverpool leo hii.
0 Comments