KAIMU
MKUU WA MKOA WA TANGA AIPONGEZA TAYODEA KWA KUSAIDIA KUWAINUA VIJANA
KIUCHUMI


Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,MhandisiMwanasha Tumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa akibadhivifaa vya vijana wa mradi wa WEKEZA (Wezesha Ustawi Endelevu kiwango cha ElimuKuzuia Ajira kwa watoto) kulia ni Mkurugenziwa Tayodea, David Chanyegea na kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya yaTanga,Faidha Salim
 Mkurugenzi wa Tayodea, David Chanyege akizungumza wakati wa halfa hiyo kushoto kwakeni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza.

Mwenyekiti wa Tayodea Stephen Kiama Mwaimuakizungumza wakati wa halfa hiyo
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muhezaakizungumza kwenye halfa hiyo
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza kushoto akionyeshwa baadhi ya vifaa vya ushonaji waliokabidhiwa vijana kupitia mradi wa WEKEZA

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza kushoto akionyeshwa kitu na Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa Tayodea Michael Mchomvu wakati wa halfa hiyo

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
akitazama vifaa mbalimbali vya ushonaji wa kwanza kutoka kulia ni
Mkurugenzi wa Tayodea ,David Chanyegea


 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
akimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi wa Tayodea,David Chanyegea kulia
wakati wa halfa ya kukabidhiwa vifaa vya ushonaji kwa vijana kupitia
mradi wa WEKEZA.




 Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa Tayodea Michael Mchomvuwa kwanza kulia akifuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi MwanashaTumbo wakati wa kukabidhiwa vifaa kwa vijana.



Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha