![]() |
| Ibrahimovic akiifungia goli la pili timu yake ya Manchester United dhidi ya Leicester City katika uwanja wa King Power.Manchester ilishinda jumla ya goli 3-0 |
![]() |
| Wachezaji wa Manchester United na wachezaji wa Leicester City wakielekea vyumba vya mapumziko. |


0 Comments