Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF ), Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa BAKWATA alipomtembelea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abobakar Zubery  ofisini kwake Kinondoni jijini Dar es salaam mapema leo. Waliokaa kuanzia kushoto ni Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam  Sheikh Alhad Mussa, Jenerali Venance Mabeyo, Sheikh Mkuu Abubakar  Zubery. Waliosimama kuanzia kushoto Katibu Mkuu Mstaafu Suleiman Lolila, Haidari Kambili, Sheikh Mussa Hemed, Katibu wa dini Mohammed Hamisi pamoja na Tabu kawambwa