![]() |
| MNAKARIBISHWA KATIKA MAULIDI YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD(S.W.A) SEGEREA MWISHO 11/03/2017 ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU Taarifa ya shughuli ya Maulidi tarehe 11 /03/2017 Katika uwanja wa Madrasat RAHMAN Segerea Mwisho,Dar-es-salaam Ndugu zetu katika Imani ,Uongozi na Jumuiya ya Madrasat Rahman Segerea inayofuraha kuwaalika katika shughuli ya maulidi yatakayo fanyika 11/03/2017 hapa segerea mwisho.Kuudhuria kwenu ndio mafanikio makubwa ya dini yetu tukufu, Pia michango yenu ya hali na mali inakaribishwa.tafadhali wasiliana nasi kwa simu hii 0622617961 kimataifa piga +255 622617961 |

0 Comments