Nyuki walioingia uwanjani walilazimu mechi ya kimataifa ya kriketi kati ya Africa Kusini na Sri Lanka kusitishwa.
Nyuki hao walivuruga mechi mara mbili na kusababisha wachezaji kukimbia kutoka uwanjani mjini Johannesburg hali iliyosababisha mechi kusitishwa kabisa.
Watunza uwanja walitumia gesi ya kuzima moto kujaribu kuwafukuza nyuki hao kabla la ya kuwaita wavugaji wa nyuki.
Mechi iliendelea tena baada ya saa moja na Afrika kusini wakashinda.
Nyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika KusiniHaki miliki ya pichaAP
Image captionNyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika Kusini
Nyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika KusiniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionNyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika Kusini
Nyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika KusiniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionNyuki wavuruga mechi ya kriketi Afrika Kusini