Leo ni mechi ya mpira wa miguu ligi kuu nchini Tanzani kati ya timu mbili kubwa nchini Tanzania ambao ni Simba na Yanga.Mechi inayoendelea kuchezwa ila Yanga wako  mbele kwa goli 1-0 na mpira ni mapumziko.