MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi madawti kwa viongozi wa kata ya sao hill kwa ajili ya matumizi ya shule
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akipongezwa na viongozi wa kata ya sao hill kwa jitihada wanazozifanya kuleta maendeleo katika jimbo la mafinga mjini
Chumi alikabidhi mabati 80 kwa ajili ya kupauwa majengo hayo,mifungo10 ya saruji,madawati 150 kwa shule za msingi za Ifingo na Kinyanambo
Na Fredy Mgunda,Mafinga.
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi ameendelea kutatua changamoto mbalimbali
za jimbo hilo kwa kufanya ziara kwenye baadhi ya shuleza msingi zilizopo katika
mjini wa mafinga na kukagua baadhi ya miundombinu inayoendelea kukarabatiwa kwa
lengo la kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wake.

Katika
ziara hiyo Chumi alikabidhi mabati 80 kwa ajili ya kupauwa majengo hayo,mifungo
10 ya saruji,madawati 150 kwa shule za msingi za Ifingo na Kinyanambo ambayo
yalitolewa na wakala wa shamba la miti Sao Hill huku chama cha mapinduzi CCM
wilaya ya Mafinga Mji kupitia mwenyekiti wake Yohanes Cosmas
wakichangia mifuko 10 ya saruji kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za mbunge za
kukamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo.

hatua nyingine mbunge huyo alitembelea jengo jipya la ukumbi wa kisasa
lililojengwa na kikundi cha Agape group ambalo lipo kwenye kata ya
Kinyanambo kwa lengo la kuinua kipato cha halmashauri hiyo.

Baada
ya mbunge kuona jitihada hizo alichangia 300,000 huku chama cha mapinduzi (CCM)
wilaya ikichangia 100,000 kwa ajili ya kumalizia ujenzi huo.

Shule ya Msingi Ifungo iliyopo wilayani Mafinga
inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ikiwamo Umeme,maji ya bomba,
madawati na nyumba za walimu jambo ambalo limedaiwa kuwa kukosekana kwa umeme
limesababisha wanafunzi kushindwakufaulu vizuri.

Kilio
hicho kimetolewa mwishoni mwa wiki na walimu mkuu wa shule hiyo Tedy Captein
wakati akizungumza mbele ya mbunge wa jimbo hilo Cosato Chumi (CCM)
wakati mbunge huyo akiwa kwenye ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya
jimbo hilo.

Mwalimu
Captein alisema baada ya rais John Magufuli kutoa elimu bure wanafunzi
wameongezeka na hivyo wanahitaji maji safi ya bomba badala ya kuelendela
kutumia maji ya tanki ambayo sio rafiki sana kwa wanafunzi hao.

Hata
hivyo kutokana na ongezeko la wanafunzi wananchi wameamua kutumia nguvu kazi
yao kwa kujenga jengo la darasa moja pamoja na ofisi ya mwalimu kwa gharama y
ash.Mil. sita hadi kufikia kwenye lenta lakini walishindwa kumalizia.

Akijibu
kilio cha shule hiyo kuhusu umeme mbunge Chumi alianza kwa kusema
“Tutazungumza na shirika la umeme tanesco ili waweze kutuletea umeme ambao
utasaidia kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa shule hii.”alisema Chumi.

0 Comments