Rais wa Shirikisho la Soka duniani (FIFA) Gianni Infantino.
Wachezaji wa  Yanga wakishagilia ubingwa.
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Jamal Malinzi,  leo amesema kuwa Rais wa Shirikisho la Soka duniani (FIFA) Gianni Infantino ametuma salam za pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2016.