NHIF
YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA
AFYA


 Waziri wa
Viwanda,Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kulia akiteta jambo na
Msimamizi
wa Ofisi ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo
kulia wakati alpolitembelea banda lao  wakati wa ufunguzi wa maonyesho
ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye  viwanja vya Mwahako Jijini
Tanga



 Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa
Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu ya
umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza
kunufaika na huduma zinazo tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda
lao  wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika
kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
 Msimamizi wa Ofisi ya
Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani
Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu ya umuhimu wa kujiunga
na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza kunufaika na huduma zinazo
tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda lao  wakati wa ufunguzi wa
maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako
Jijini Tanga
 Wananchi wakipima presha
kwenye banda hilo wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo


Afisa
kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia
kushoto akisubiri kujeza fomu za wananchi ambao wanakwenda kupima uzito
na afya kwenye Banda lao ambapo wanatoa elimu namna ya kujiunga na mfuko
huo,kupima afya
habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga
Raha