| Eid El Fitr ambayo jana ilifanyika katika mji wa Geel,Pichani waungwana wakipata chakula cha Eid baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuisha salama. |
| Al ustadh Rasheed Richad akiwa na baadhi ya wageni waalikwa kutoka Liege wakifurahia kwa pamoja sikukuu ya Eid El Fitr |
| Kutoka kushoto ni baba Hajra,Shekh Rasheed Richad,Katibu mkuu Mohammed na Shekh Eddy |
| Shekh wetu wa Mol al ustadh Yusuf akianzisha ufunguzi wa sherehe za Eid hapo jana |
| Meza kuu ya kurushia matangazo ilikuwa ikidhibitiwa na kijana Jamal.. |
| Al ustadh Habib ambaye ndiye alikuwa Shekh mkuu wa mawaidha kwa siku ya jana,pichani akitoa mawaidha kuhusu furaha ya Eid na udugu katika uislam |
| Madada zetu wa kitaa nao katika ubora wao |
| Safu ya chakula katika upande wa kina mama iliongozwa vyema na watoto wetu ambao walihakikisha kila mmoja anapata chakula kitamu na anashiba |
| Huu ndio Uislam unavyotufundisha,Salam,Upendo,Furaha na ushirikiano..Raha sana..Pichani kushoto ni brother Salmin na Kamanda wa Oparesheni maalum. |
| Mama Denzel katika ubora wake |
| Brother Akbar kulia akitoa huduma ya chakula kwa wageni waliofika katika shughuli ya Eid |
| Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali balani ulaya wakishiriki chakula cha sikukuu ya Eid el fitr |
| Dada Didah akiwa na watoto wake katika ubora wao |
| Wageni waalikwa katika kupata chakula cha sikukuu |
| Furaha ya sikukuu ilikuwa nzuri kwa kila mmoja aliyefika kusheherekea |
| Kwa upande wa kina mama wakiendelea na kupata chakula |
| Hapa na kwa upande w kina baba nao wakipata chakula |
| Al habib shekh wa Mol ndugu Abdallah akipata chakula cha sikukuu ya Eid |
| Shekh Habib kushoto akijifuta mdomo na kumshukuru Mungu baada ya chakula |
| Shekh Fahad kushoto akiwa na Shekh Ashraf huku wakipeana mkona wa Eid mubarak |
| The Blogger Maganga One akiwa na Katibu mkuu wa Itifak bwana Mohammed wakipata chakula cha sikukuu ya Eid |
| Watoto wakiwa katika foleni ya kusoma Quran |
| Kutoka kulia ni brother Akbar akiwa na brother Ibrahim kutoka Ghana |
| The Blogger Maganga One akitoa shukrani kwa kila mmoja aliyeshiriki vyema katika kufanikisha sikukuu ya Eid |
| La Familia |
| La Familia |
| La familia |
| Wageni wakipata chakula |
| Mwenye miwani ni mama Karim akipata chakula cha sikukuu ya Eid Elf Fitr |
| La familia all the way from Liege-Belgium |
| Rankeem {Maganga One Junior} akipata picha na mchumba wake..Mash'Allah |
| Wazee wetu wakisikiliza mawaidha ya Eid,kutoka kushoto ni mzee Mosi na kulia ni mzee Bales |
| La Familia |
| Mohammed's Family |
| All the way from Antwerpen -Belgium |
| Maakuli tijd...Muda wa msosi |
| All the way from Oostende Beach |
| Dada yetu na kiongozi wetu kutoka Antwerpen,dada Ummy kushoto na Mrs Mohammed wakipata chakula |
| Mama yetu |
| Ustadh Ally ambaye ndiye mume wa Rahma,Ally Van Rahma akiwa na mzee wetu mzee Bales |
| La familia |
| La Familia |
| La falimia |
| Eid Mubarak all the way from Liege- Belgium |
| Mama Kauthar katika Ubora wake |
| The Blogger akiwa na dada yake wa Ukweli |
0 Comments