Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh,Jumuiya ya wana Mol ina furaha kuwaalika wakazi wote wa Ubelgiji kujumuika nao katika futar ya pamoja waliyoianda siku ya jumamosi tarehe 03.06.2017...Wana Mol wanatoa mualiko huu kwa kila mtu atakayejaaliwa kufika ili kufutari pamoja.
Anuani ya mahali pa kufutari
Jina la ukumbi Den Uyt
Adress- Rivierstraat 8
Post Code -2400
Jina la Mji- MOL
Kwa yeyote atakayepata kuliona tangazo hili tafadhali anaombwa amuarifu na mwenzake.
Kwa maelezo zaidi tafadhali unaweza kuuliza kwa namba zifuatazo.
+32 492 063 600
+32 465 685 021
Shukrani.
Wabillah Taufhiq.
0 Comments