Ze Blogger'Maganga One akiwa na familia yake ndani ya jengo la makumbusho la Vatican..Maganga One Blogger jana alitembelea sehemu nyingi za vivutio za jiji la Rome.

Pichani Maganga One akikuonyesha kwa nyuma foleni kubwa ambayo huchukua muda mrefu kuingia ndani endapo kama hukufanya booking ya tiketi online.

Ule msemo wa Wahenga kwamba "hata Rome haikujengwa kwa siku moja" jengo lenyewe ndilo hiloo nyuma yake 

Italia ni nchi ya kihistoria yenye vitu vingi vya simulizi

Maganga One alipokutana na wafanyabiashara ndogondogo za mikononi jijini Rome,hawa ni raia wa Senegal.Tulibadilishana mawazo na kuwapa moyo kwamba maisha ni mapambano hivyo wasikate tamaa.Pichani tukapata picha ya pamoja na kuonyesha alama ya AMANI..Peace & Love Afrika.