Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 20, 2017

MAGANGA ONE NA FAMILIA YAKE ATUA NCHINI ITALY KWA MAPUMZIKO

Maganga One Blogger katikati akionyesha ishara ya Amani pale alipotua jijini Roma nchini Italy kwa mapumziko marefu na familia yake.Pichani akiwa na mkewe na watoto wake pamoja na mwanafrika mjasiriamali kutoka nchini Senegal katikati ya jiji la Roma.Maganga One yupo jijini Roma kwa mapumziko.

Blogger Maganga One akiwa na familia yake kwenye moja ya vivutio jijini Roma nchini Italy.Maganga One yupo nchini Italy kwa mapumziko{Likizo}.akiwa nchini Italy atatembelea vivutio mbalimbali na kutafuta wawekezaji pamoja kuwashawishi watu kufanya utalii nchini kwetu pia
Maganga One Blogger akiwa mitaani jijini Roma ..Hali ya hewa nchini Italy kwa upande wa jiji la Roma ni joto kali sana akilifananisha na lile joto la jiji la Bongo..Kutokana na mapumziko niliyo nayo kwa kipindi cha majuma machache nawaomba wapenzi wangu wa Blog hii kuwa wavumilivu kwa kucheleweshewa habari.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP