Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 9, 2017

MOSES MOSI AFUNGA PINGU YA MAISHA NA MKEWE,SHEREHE ZAFANA GEEL UBELGIJI

Tarehe 08.07.2017 Bwana Moses alitimiza ahadi yake ya kuitwa Mr Moses pale alipokamilisha ndoto yake baada ya kufunga ndoa na Kipenzi chake.Pichani furaha ikitawala mara tu bwana Moses alipomvisha pete mkewe{Picha na maelezo toka Maganga One Blog}

Baba na mama wa bwana harusi wakiingia ukumbini

Mrs Moses akiingia ukumbini kwa tabasamu mubashara kabisaa Maash'Allah

Meza kuu kwa upande wa bi harusi na hapa ni baadhi ya ndugu na jamaa wa bi harusi

Harusi ni watu na watu ndio kama mnavyowaona yani full kupendeza

Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha za kumbukumbu 
{M.One Team}Mr & Mrs Maganga One
Mr & Mrs Abdallah nao walikuwepo kushuhudia sherehe za harusi ya bwana Moses
Mr & Mrs Mohammed wakitulia vizuri kabisa kunaswa na camera
La Familia
Kitengo cha chakula kikiwa tayari kuwajibika
Mrs Khasser Yusuf akiwa katika ubora wake

Madada watanashati wakitulia vizuri kabisaa
 Waungwana wakipata picha za kumbukumbu


Wageni,ndugu na jamaa

Dada Sarah mwenye blu akiwa na ndugu yake
La familia{Picha na maelezo toka Maganga One Blog}
Bwana harusi akijiachia kidogo na waalikwa{Picha zote toka Maganga One Blog}
Mungu mmoja,Mke mmoja hayo ndio maneno yake bwana Man akiwa na mkewe kipenzi mama Kauthar{Picha zote na maelezo toka Maganga One Blog}

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP