Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akiwa ameshika kikombe kinachoshindaniwa katika mashindano ya "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika mashindano hayo leo Agosti 19, 2017. (Picha Zote Na Mathias Canal)

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akifungua mipira itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017" wakati
akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika
mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.



Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu (Kulia) akiwa na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu Wilaya ya Ikungi Alhaji Salum Mohamed Chima wakionyesha vifaa vitakavyotumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP
2017" wakati
akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika
mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu Wilaya ya Ikungi Alhaji Salum Mohamed Chima akionyesha moja ya mipira
itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP
2017" wakati
akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika
mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akionyesha moja ya mipira
itakatumika kwenye ligi ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP
2017" wakati
akivitambulisha vifaa vyote vya michezo vitakavyotumika katika
mashindano hayo leo Agosti 19, 2017.



Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji J. Mtaturu ametambulisha vifaa vitakavyotumika wakati wa mashindano ya "IKUNGI ELIMU CUP 2017" Inayoanza kurindima hii leo katika uwanja wa Shule ya Sekondari Ikungi.



Kuanzishwa kwa ligi hii itasaidia
kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa elimu katika kutatua
changamoto za elimu ikiwemo ujenzi wa Madarasa, Maabara pamoja na nyumba
za waalimu kupitia mfuko wa elimu.