Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates
Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akizungumza na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates
Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiagana na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation
Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini
Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles
Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi.
Zuhura Bundala (kushoto)  pamoja na maafisa alioongozana nao Bw. Bill
Gates

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana
na  Kaimu Balozi wa  Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea
na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10,
2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwa katika mazungumzo na   Kaimu Balozi wa  Marekani nchini Bi. Immi
Patterson aliyemtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiagana na  Kaimu Balozi wa  Marekani nchini Bi. Immi Patterson
aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2017.PICHA NA IKULU