Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amezungumza na BMG na kueleza madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria (ANTIBIOTICS) kiholela bila kufuata ushauri wa daktari.

 Madhara ya kutumia ANTIBIOTICS kiholela