| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) |
0 Comments