Muhtasari

  1. Vituo vya kura vitafunguliwa saa kumi na mbili alfajiri
  2. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesusia uchaguzi huo na kuwataka wafuasi wake wasalie manyumbani
  3. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati amesema uchaguzi unaweza kuahirishwa baadhi ya maeneo kukiwepo na ukosefu wa usalama
  4. Uchaguzi huu unatokana na hatua ya Mahakama ya Juu kufuta uchaguzi uliofanyika tarehe 8 Agosti
  5. Foleni zaanza kujisuka Eldoret

    Mjini Eldoret, ambayo ni ngome ya naibu rais William Ruto, foleni zimeanza kujisuka katika vituo vingi vya kupigia kura.
    Mpiga picha wetu Peter Njoroge ametutumia picha hizi:

    Foleni
    BBC
    Foleni 2
    BBC
    Upigaji kura ulianza saa mbili
    BBC
    Upigaji kura ulianza saa mbili