Wafanyakazi wa Tigo, Laurian Gideme , Jacob Sisala na Andrea wakiwa wapozi kwenye picha ya pamoja na msanii Jux mara baada ya wasanii kutembelea duka la Tigo Songea mapema wiki iliyopita



Wafanyakazi wa Duka la Tigo Mjini Songea wakipiga picha ya pamoja  na Dogo Janja.



Wafanyakazi wa Duka la Tigo Mjini Songea wakipiga picha ya pamoja na GNako na Dogo Janja mapema wiki iliyopita.