Hama hama ya makada wa siasa hususani kutoka Chadema kwema CCM imeendelea katika maeneo mbalimbali nchini.Video hii hapa chini inakuletea maoni ya baadhi ya watazamaji wake.
Itakumbukwa kwamba hii leo Katibu wa Chadema (pichani) wilayani Tarime amehamia CCM ikiwa ni siku tatu baada ya diwani wa Kata ya Turwa wilayani humo pia kuhamia CCM.
0 Comments