Mji wa Sydney nchini Australia imekumbwa hali ya juu ya joto kuwai kushuhudiwa kwa kipindi cha miaka 79 iliyopita na kufiki nyusi joto 47.3
Eneo la Penrith magharibi mwa Sydney wenyeji walitafuta hifhadhi baada ya mji huo kukumbwa na kiwango cha juu cha joto leo Jumapili.
Onyo la kutokea moto lilitolewa mjini Sydney na marufuku yote ya moto ilitolewa kote mjini humo.
Viwango vya joto vilikaribia vile vya mwaka 1938 vilivyofikia nyusi joto 47.8.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionKifaa cha kupima joto Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionWatu wakiwa kwenyr fukwe za Sydney |
0 Comments