CRISTIANO Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 120 katika michuano ya klabu Ulaya: siyo mbaya, hasa kwa kuwa kuna wachezaji wengine 17 tu waliofikisha mabao 50.
WACHEZAJI WALIOFIKISHA MABAO 50 AU ZAIDI KATIKA MICHUANO YA KLABU ULAYA:
122: Cristiano Ronaldo (Sporting CP, Manchester United, Real Madrid)
103: Lionel Messi (Barcelona)
77: Raúl González (Real Madrid, Schalke)
70: Filippo Inzaghi (Parma, Juventus, Milan)
67: Andriy Shevchenko (Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea)
62: Ruud van Nistelrooy (Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburg)
62: Gerd Müller (Bayern München)
59: Thierry Henry (Monaco, Juventus, Arsenal, Barcelona)
59: Henrik Larsson (Feyenoord, Celtic, Barcelona, Manchester United, Helsingborg)
56: Zlatan Ibrahimović (Ajax, Juventus, Inter Milan, Barcelona, AC Milan, Paris Saint-Germain, Manchester United)
56: Eusébio (Benfica)
54: Alessandro Del Piero (Juventus)
53: Sergio Agüero (Atlético Madrid, Manchester City)
53: Karim Benzema (Lyon, Real Madrid)
52: Robert Lewandowski (Lech Poznań, Dortmund, Bayern München)
50: Didier Drogba (Marseille, Chelsea, Galatasaray)
50: Klaas-Jan Huntelaar (Heerenveen, Ajax, AC Milan, Schalke)
50: Alfredo di Stéfano (Real Madrid)
|
0 Comments