Wachezaji wa timu ya Taifa ya Denmark wakishangilia goli la kwanza kwa timu yao dhidi ya timu ya Taifa ya Austalia lililofungwa na Eriksen dakika ya 7 kwa mkwaju mkali uliomshinda golikipa wa Australia
Mchezaji wa timu ya Australia akiruka juu kushangilia goli alilofunga kwa njia ya penati na kuisawazishia timu yake ya Taifa ya Australia dhidi ya Denmark na kufanya mchezo kuwa 1-1.Mpaka mwisho wa mchezo Denmark 1-1 Australia
0 Comments