_DSC1048
 Waziri wa Viwanda ,Biashara na wawekezaji Charles Mwijage akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
_DSC1054
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
_DSC1067
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
_DSC1075
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogoloakitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
_DSC1109

_DSC1116

_DSC1127

_DSC1133

_DSC1139

_DSC1142