![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Meatu mjini mkoani Simiyu mara baada ya kuwasili wakati akitokea Bariadi. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Meatu mjini mkoani Simiyu mara baada ya kuwasili wakati akitokea Bariadi. |
![]() |
| Sehemu ya Wananchi wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza katika viwanja vya Meatu mjini. |
![]() |
| Ngoma ya kichungaji ya Budimi ya Meatu ikitoa burudani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Meatu mjini mkoani Simiyu. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Meatu mjini kwa ajili ya kuhutubia katika mkutano wa hadhara. PICHA NA IKULU |

0 Comments