Kadinda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; “To the World., Designer of The Year Africa@themanawardsAfrica’s Designer of The Year 2018…!! Am Humbled. The World Is ReadY
Shukurani Za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa Afya, akili na ubunifu…Shukrani kwa Wizara Ya Habari, michezo na Utamaduni Kupitia Basata.Shukurani za Dhati kwa Familia, mama Yangu, dada na kaka zangu.. wadogo zangu na ndugu zangu wote…@wemasepetu and Ur Amaizing Team wema and die Hard fans..MK empire with All the Love and Support alwaysMy friends mnajijua.. cant mention all of you.. ila asante sana.
Las Vegas nawasahauje sasa. Majirani zangu vipenzi sijawasahau.Nitamaliza wote ? My fans in Belgium, south africa, Holland, china, states and All of the World .”
0 Comments