Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo naMfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz mara baada yamazungumzo yao Ikulu jijini Dares Salaam. PICHA NA IKULU 

 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR
Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa
mkongwe John Shibuda ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Ikulu
jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe wa
Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.