Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania {Taifa Stars}

Leo tupo nchini Lesotho kuweka historia ya nchi,Timu ya taifa Taifa Stars tumeikabidhi silaha ikapambane vita kwa ajili ya nchi yetu na tunawaombea dua ili mkapambane vita hivii na mrudi na ushindi mnono.Kumbukeni maajabu mtayofanya leo mtawekwa kwenye kumbukumbu kwenye historia ya nchi yetu hivyo mjitahidi kutuonyesha kile ambacho tumewatumainia.Kwa kuwa tutawaangalia live hamtakuwa na sababu ambazo hatutarajii kuzisikia.Mungu awajaalie mshinde vita hivii,kila la heri Taifa langu kila la heri Tanzania"-Maganga One.