Tarehe 24.11.2018 Katika jiji la Den Haag nchini Uholanzi kutakuwa na Burudani kabambe kwa rika zote na tukisema burudani yani toka Old School mpaka New school,Party hii si yakukosa kwani kuna kila aina ya Burudani,Vinywaji aina zote ,Sambusa na Mishikaki.Na kama vile haitoshi Madj watatu ambao watashindana kuhakikisha hakuna mtu atakayekaa chini kwa burudani,DJ HATIB MUST,DJ TARIQ NA DJ KEY wote watakuwepo ukumbuni.Usisahau Kiingilio ni cheeee yani euro 10 tu na ukiliona tangazo hili mrushie na mwenzio.
                    "Let's get together kwa kuufunga mwaka"Stress tupilia kuleee njoo ubanjuke mpaka majogoo