Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia upinde aliopewa na wazee wa kijiji cha Kilimarondo wilayani Nachingwea ikiwa ni ishara ya kumtakia ulinzi wakati wote anapotimiza majukumu yake ya kulitumikia taifa.  Alikuwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kijijini hapo, Novemba 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Mwenyekiti wa kijiji cha Mtua, wilayani Nachingwea, Anthony Makota   wakati  aliposoma taarifa kuhusu matatizo yanayokikabili kijiji hicho mbele ya   Waziri Mkuu ambaye alisimama kijijini hapo kuwasalimia wananchi, Novemba 17, 2018 . Kulia ni Mbunge wa Nachingwea, Hasan Masala. Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu)