Bomba la Maji kwenda miji ya Tabora, Nzega na Igunga pamoja na Vijiji zaidi ya 120 likiunganishwa katika eneo la Solwa. Nzega wataanza kupata maji ya Ziwa Victoria mwezi wa saba, Igunga mwezi wa tisa na Tabora wataanza kupata maji kutoka Ziwa Victoria Novemba mwaka huu. Picha kwa hisani ya Maji Tanzania.