Kijana Nuhsairy kutoka madrassat TAQWA nae akitoa dahwa katika sherehe za Eid zilizofanyika MOl nchini Ubelgiji |
Kijana Nabil nae kutoka madrassat TAQWA akisoma Quran na tafsir yake katika sherehe za Eid zilizofanyika Mol nchini Ubelgiji siku ya jumamosi ya tarehe 08.06.2019 |
Shekh Munir akiwa na rafiki yake kutoka Egpty wakiwa makini kusikiliza hotba ya Eid |
Watoto wakionekana katika hali ya utulivu kuskiliza Quran |
Binti mdogo kwa jina la Aziza akipokea zaadi yake baada ya kusoma Quran na tafsir yake |
Kijana Imran{Denzel} akipokea zaadi yake baada ya kutaja vizuri kabisa majina 25 ya mitume |
Binti mdogo kwa jina la Maysaira akisoma Quran katika sherehe za Eid |
Binti mdogo ka jina la Roshan nae akisoma Quran katika sherehe za Eid zilizofanyika jumamosi ya tarehe 08.06.2019 |
Zawadi kwa kijana Ibrahim baada ya kusoma Quran na kutoa tafsir yake |
0 Comments