Jumamosi ya tarehe 10 August 2019 katika viwanja vya Robestock Park,katika jiji la mapesa ya Euro yaani Frankfurt nchini Ujerumani,bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU ughaibuni maarufu pia kwa jina kama "Watoto wa Mbwa" aka Viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" walithibitishia maelfu ya washabiki kuwa bendi hiyo ni moto wa kuotea mbali barani ulaya kwa kuweza kushusha midundo ya kiafrika iliyowadatisha akili washibiki katika onyesho la Afrika-Karebiki festival,mjini Frankfurt.
wapitie at www.facebook.com/
Imeripotiwa na Zainabu Ally Hamis
Ujerumani
|
0 Comments