Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amebeba Mwenge wa Uhuru ulipowasili kijijini kwake Msoga wilayani Bagamoyo wakati ukikimbizwa katika mkoa wa Pwani
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru ulipowasili kijijini kwake Msoga wakati ukikimbizwa katika mkoa wa Pwani |
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mhe. Mama Salma Kikwete na wakiwa na wakimbiza Mwenge wa Uhuru ulipowasili kijijini kwake Msoga wakati ukikimbizwa katika mkoa wa Pwani |
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa akihutubia wananchi Mwenge wa Uhuru ulipowasili kijijini Msoga
|
0 Comments