Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Isawima Kaliua mkoani Tabora katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Nguruka Uvinza mkoani Kigoma wakati akielekea mkoani Tabora leo tarehe 20 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Uvinza mkoani Kigoma katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.

 

Sehemu ya Wananchi wa Uvinza wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo leo tarehe 20 Septemba 2020.