Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) akizungumza na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga (aliye vaa suti ya kijivu) na Bw. Selestine Kakele (mwenye kaunda suti ya bluu) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) katika picha ya pamoja na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga na Bw. Selestine Kakele
0 Comments