Naibu Katibu Mkuu wa CPPCC, Zhang Maoyu akizungumza na waandishi wa habari kutoka Afrika, katika mkutano huo alielezea kuhusu CPPCC mchakato wa mapendekezo yake na namna linavyoshirikiana na vyombo vingine.
Duniani kuna miundo tofauti ya utawala lakini yote lengo lake linalokubalika ni kuleta matokeo chanya kwa nchi na wananchi wake.
Muundo wa utawala wa Taifa la China wengi wanaweza kutamani kuufahamu.
Leo wacha tuzungumzie kuhusu Baraza la mashauriano ya kisasa la China (CPPCC) ambacho ni chombo namba nne chenye nguvu katika Taifa hilo lenye idadi kubwa ya watu duniani na la pili kiuchumi.Muundo wa baraza
Kwa kawaida wajumbe wa Mkutano Mkuu wa baraza hilo ni wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa asilimia 40 na wasio wanachama ni asilimia 60, CPPCC ni jukwaa muhimu la kutoa mapendekezo mbalimbali ya kisera na kiuongozi.
Muundo wa baraza

0 Comments